Madereva wa Pwani kushirki mbio za magari ya Dunia

 

Madereva wa Pwani kushiriki mbio za magari ya Dunia

Maderava wane kutoka pwani watashiriki katika mbio za Dunia za magari ya (WRC) ambayo itaanza rasmi wiki ijayo mjini Nairobi.

Also Read
Kombe La Dunia Lafaa Kuandaliwa Kila Baada Ya Miaka 2 Asema Arsene Wenger

Kenya inarejeatena kwenye mashindano ya magari ya ya dunia ya WRC baada ya miaka 18.

 Maderava hao kutoka pwani ni Sohanjeet Singh Puee kutoka timu ya Nanak, Paras Pandya (Synergy Gases), Izhar Mirza (Coast Pekee Racing) na Piero Canobbio kutoka kaunti ya Kilifi.

Also Read
Bale arejea Ungereza baada ya miaka 7

Puee anashirki mashindanohayo kwa mara ya kwanza.

Also Read
Kocha wa Uganda aipigia harambee stars Upato

 Mishindnao hayo yatapeperushwa live kupitioa kbc Channel Radio Taifa na English service kwanzia tarhe 24 mwezi huu.

 

 

 

 

  

Latest posts

BETIKA  yawatuza wachezaji waliofana kwa Natinal super league

Ken Wekesa

Manchester City Yaondoa Bidhaa Zenye Jina La Benjamin Mendy

Clavery Khonde

Emma Raducanu apongezwa ni malikia kwa usindi wake wa US open

Ibrahim Nyundo

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi