Mamamke Trio Mio amfrusha Meneja wiki mbili  baada Trio kuenda shuleni

 
Mamake Mzazi msaani Trio Mio Irma Sakwa amesema kuwa meneja wa msaani huyo Wilking Fadhili hataendelea kumsimamia mtoto wake.
Irma amedai kuwa Fadhili amemlaghai Trio Mio Zaidi ya shilling laki moja na anaendelea na anaendelea kuwa laghai watu kutumia jina la Trio Mio.
Hii hapa alichokizema Irma kupitia ukurasa wake wa Instagram
“Wilkings Fadhili is no longer Trio Mios manager. This guy has perfected the art of conning. This character has conned my son over 100k and still counting. Beware! He’s not allowed to transact any business on behalf of my son Trio Mio”

Trio Mio mwenye Umri wa miaka 16 alivuma sana mwaka jana na kibao chake CHEZA KAMA WEWE remix aliotoa mwezi disemba akiwa amemshirikisha Mejjana nelly the goon.
Kibao hicho awali alikuwa amekiachia kwenye EP yak wake ya Son of the city mwezi juni.
Wiki jana aliachia kibao chake kipya kinachojulikana kama SEREREKA.
 

  

Latest posts

Best Female East Africa

Ken Wekesa

Best Male East Africa

Ken Wekesa

Hongera Sai Kenya

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi