Manny Pacquiao Kuwania Urais

Nguli wa ndondi duniani kutoka nchini Ufilipino Manny Pacquiao ametangaza rasmi kugombania nafasi ya Urais wa Nchi hiyo kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Mwakani.

Also Read
Serikali ya Kilifi kuanzisha upimaji virusi vya korona kwa umma

Pacquiao akiwa na umri wa miaka 42 ameeleza kuwa katika uongozi wake atatokomeza rushwa, na kuondoa umasikini lakini pia ataifanya Serikali yake iwe ni yenye uwazi.
Ikumbukwe kuwa Pacquiao ni Seneta nchini humo  na kauli ya kugombea Urais ameitoa baada ya uteuzi wa kuwania Urais uliofanywa na Chama chake cha PDP- Laban ambacho ni Chama tawala kilichomuweka Durtete madarakani Mwaka 2016.

  

Latest posts

Vijana Wametakiwa Kutosubiri Kupewa Pesa Na Wanasiasa Ili Wajiandikishe Kama Wapiga Kura

Clavery Khonde

Wakaazi Taita Taveta Wahimizwa Kupokea Chanjo Dhidi Ya Korona

Clavery Khonde

Ken Chonga Akanusha Madai Ya Ubadhirifu Wa Fedha Za Basari

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi