Mapigano Cameroon Yaua Watu 22 Huku Maelfu Wakitorokea Nchi Jirani Ya Chad.

Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu alfu 30  wameondoka   kaskazini mwa Cameroon hadi nchi jirani ya Chad wiki hii kufuatia mapigano ya kikabila yaliyosababisha vifo vya takriban watu 22.

Also Read
Samboja Akwaruzana na Maafisa Wakuu Wa Kitaifa Kuhusiana Eneo Analotoka

Vurugu hizo zilitokea mwishoni mwa juma katika mji wa mpakani wa Ouloumsa wakati wa mzozo kati ya wafugaji, wavuvi na wakulima kuhusu kupungua kwa rasilimali za maji. 

Also Read
DCI Imehimizwa Kuchunguza Kisa Cha Aliyetuma VyetI Ghushi Kwa IEBC

Ghasia hizo zilieneakatika vijiji jirani – 10 ambavyo vimeteketezwa kwa moto.

Also Read
Asilimia 72 ya Wakenya wanaonelea taifa hili halielekei kwenye mkondo ufaao

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi linasema robo tatu ya waliokimbilia Chad walikuwa watoto na  wanawake,  wengi wao wakiwa wajawazito.

  

Latest posts

Gor Mahia Wapiga Kalamu Harrison na Benchi Lake La Kiufundi

Clavery Khonde

Sportpesa Yatoa Vifaa Vya Matibabu Kilifi

Clavery Khonde

Hospitali Za Kibinafsi Kukataa Huduma Za NHIF Mwezi Ujao

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi