Matayarisho Ya Mazishi Ya Hayati Kibaki Yakamekabilika Sema Matiang’i

Waziri wa usalama wa kitaifa Dkt. Fred Matiangi ametangaza kuwa mipango ya mzishi ya kitaifa ya rais mstaafu hayati Mwai Kibaki imekamilika.

Also Read
Viongozi wa uasalama Tana River wazuia zoezi la ulanguzi wa wapiga kura kutoka kaunti ya Kilifi

Waziri Dkt. Matiangi amewahimiza wakenya watakaohudhuria ibada ya wafu ya kitaifa katika uwanja wa michezo wa Nyayo,wawe wameketi kufikia saa mbili asubuhi siku ya ijumaa.

Also Read
Raia wa DRC wakamatwa Marekani kwa ulanguzi wa pembe za ndovu

Waziri huyo amesema mwili wa hayati Mwai Kibaki utasafirishwa kwa gari hadi Othaya lakini akatoa wito kwa umma kuzingatia maagizo ya wanajeshi pamoja na kanisa ambalo litakuwa likiongoza hafla  hiyo.

  

Latest posts

Mpango Wa Wanawake Wazinduliwa Kwlae

Clavery Khonde

Waziri Magoha Aahidi Uimarishwaji Zaidi Wa Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Pwani Wahamasisha Wenzao Kuhusu Amani

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi