Mateka 50 wa Majambazi Waachiliwa Kaskazini Mwa Nigeria

Kiongozi wa kundi la majambazi waliojihami  katika jimbo la Zamfara kaskazini mwa  Nigeria,amesemekana kuwaachilia huru watu  50 ambao walitekwa-nyara hivi majuzi.

Also Read
Watu Saba Wauawa Katika Maandamano Sudan

Walioshuhudia waliona mabasi yaliojaa mateka yakielekea mji mkuu wa jimbo hilo  wa  Gusau.

Maafisa hawakusema ni sababu gani iliomfanya kiongozi wa kundi hilo  Bello Turji,  kuchukua hatua ya kuwaachilia huru mateka hao.

Also Read
Ujio Wa Chanjo Ya Korona Kuimaria Utalii Asema Boinet

Wakazi wanasema uamuzi huo huenda umechukuliwa kufuatia juhudi za kushawishi serikali kumpa hifadhi kiongozi wa kundi hilo.

Also Read
Wakaazi wa Ganze- Kilifi wanasema wako kwenye hatari ya kuangamia kama hawatapata msaada wa chakula na maji ya kunjwa

Wanahewa wa Nigeria wanasema wamekuwa wakitekeleza mashambulizi dhidi ya  kampi  za kundwi hilo.

  

Latest posts

Gor Mahia Wapiga Kalamu Harrison na Benchi Lake La Kiufundi

Clavery Khonde

Sportpesa Yatoa Vifaa Vya Matibabu Kilifi

Clavery Khonde

Hospitali Za Kibinafsi Kukataa Huduma Za NHIF Mwezi Ujao

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi