“Matendo ya Maendeleo Ndio Kigezo Cha Uongozi”, Asema Mbunge wa Mvita

Sera na msimamo kwa yale ambayo kiongozi ameyafanya kwa wananchi akiwa mamlakani ndio njia pekee itakayowauza wanasiasa wanaotaka kuchukua nyadfa za uongozi.

Haya ni kwa mjibu wa mbunge wa Mvita Abdulswamad Shariff Nassir.

Also Read
Villarreal yamteua Unai Emery kuwa kocha

Akizungumza na wakaazi wa Magogoni eneo bunge la Kisauni Nassir amewataka wakaazi wa Mombasa kuwa macho na kumchagua kiongozi ambaye ana sera na msiamamo kwa yale maendeleo aliyoyafanya kwa wananchi.

Also Read
Homa Ya Dengue Yaongezeka Mombasa

Hata hivyo amesema manifesto yake ni kuona kuwa wakaazi wa kaunti ya Mombasa na pwani kwa ujumla wameweza kuendelea kiuchumi huku akisisitiza msimamo wake wa kuwa ndani ya chama cha ODM.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi