Mbelle Awahimiza Vijana Kuzidisha Chachu Ya Talanta Zao

Vijana wamehimizwa kujitokeza na kuonyesha talanta zao ili ziweze kuwanufaisha maishani.

Haya ni kwa mujibu wa mwenyekiti wa jumuia ya vyuo vikuu eneo la pwani Patrick Mbelle.

Also Read
Hatutanunua vifaa vya matibabu kutoka KEMSA wasema magavana

Akiongea wakati wa kusherehe za kumuenzi aliyekua mbunge wa Kisauni marehemu Karisa Maitha katika eneo la Majaoni Mbelle amesema vijana wanapaswa kuwezeshwa nay eye kama kijana atahakikisha anaendelea kutoa hamasa ya kukuza talanta za vijana kutoka wadi ya Bamburi.

Also Read
Otile Brown, Nviiri na Wasanii Wengine Wapoteza Nyimbo Zao Youtube

Kwenye hafla hio Mbelle aliweza kutangaza azma yake ya kuwania kiti cha mwakilishi wadi ya Bamburi akisema kuwa huu ndio wakati wa vijana kujitosa katika uongozi.

  

Latest posts

Wafanyibiashara Katika Soko La Malindi Walalamikia Uchafu na Uvundo.

Sylvester Chibero

Wakenya Wametakiwa Kuwa Waangalifu Wakati Wanapoabiri Magari Msimu Huu Washerehe.

Sylvester Chibero

Tutashamiri Kwenye Mashindano Ya Mwaka Huu Ya Tong-IL Moo Do Asema Master Mwakio

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi