Mbunge wa Kaloleni Akanusha Madai ya Kuchukua Pesa Kutoka kwa Wakaazi

Mbunge wa wa kaloleni Paul Katana akanusha madai yanaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba anapokea fedha kutoka kwa wakaazi ili kuwahifadhia nafasi za kazi za makurutu.

Also Read
Sharif Athuman asema serikali ijayo ya Lamu itakuwa chini ya muungano wa Kenya Kwanza

Akiongea na meza yetu ya habari mbunge huyo amedokeza kuwa zoezi la makurutu linafanywa kwa njia ya usawa na amewasihi wakazi hao kutotoa hongo bali kujaribu bahati yao.

Also Read
Waislamu Wahimizwa Kuliombea Taifa Amani Katika Mfungo Wa Eid Ul Hijja
Also Read
Lalama Za Wakaazi Wa Bombolulu Kuhusu Ajali Kwenye Barabara Kuu Ya Mombasa-Malindi

Hata hivyo amewashukuru wakazi wa eneo la kaloleni kwa kutoa ripoti  hiyo ilikuwafichua walaghai.

  

Latest posts

Kaunti ya Kilifi yaanza uboreshaji wa huduma za afya

Joshua Chome

Bunge lajadili hotuba ya rais huku mseto wa hisia ukiibuka kutoka kwa pande mbili

Joshua Chome

Rais wa Uganda Yoweri Museveni awaomba msamaha Wakenya kwa jumbe kutoka kwa generali Mohoozi

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi