MCA achakuwa madaraka ya Ugavana

Mjumbe wa Matopeni Abdi Hassan anayejulikana pia kama Guyo ameandikisha historia kuwa mjumbe wa kwanza kuwa gavana.wa Isiolo.

Guyo aliwania waadhifa huo kwa tikiti ya Jubilee na kupata kura 28, 946 na kumshinda gavana wa zamani wa eneo hilo Godana Doyo aliyewania waadhifa huo kama mgombea huru.  Doyo alipata kura 26,270.

Also Read
Gavana Kingi Na Jumwa Wakinzana Kuhusu Siasa Za Vyama
Also Read
Mwanamke Ajifungua Watoto Tisa Nchini Mali

Mwezi machi Guyo ambaye ni kiongozi wa wengi katika bunge la Nairobi anayeondoka alikubali kuwania waadhia huo baada ya gavana anayeondoka Mohammed Kuti kumuidhinisha kuchukuwa uongozi.

Also Read
Tume ya uchaguzi IEBC yasisitiza kuwa uchaguzi mkuu ni Agosti mwaka ujao

Gavana huyo anasema maswala ya afya yalimchochea asitetee waadhifa wake.

Guyo alikuwa amejipanga kuwania waadhifa wa  eneo bunge la Embakasi kati.

  

Latest posts

Rais aahidi kukomesha aibu ya njaa nchini

Joshua Chome

Mradi Wa Unyunyiziaji Mashamba Maji TanaRiver Waimarishwa

Ruth Masita

Gavana Achani akemea wanaoendeleza kuhubiri siasa chuki Kwale

Ibrahim Nyundo

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi