Mimi Ndio Nastahili Kupeperusha Bendera Ya ODM Kilifi Asema Saburi

Niabu gavana wa kaunti ya Kilifi, Gedion Saburi amesema yeye ndio anastahili kupeperusha bendera chama cha ODM kwenye uchaguzi mkuu mwezi wa nane.

Also Read
ODM Yaendeleza Mkutano wa ‘Azimio la Umoja’

Kulingana na Saburi viongozi ambao wanajipendekeza kupata tiketi ya ODM watakuwa na wakati mgumu kwenye kura za mchujo.

Akizungumza eneo la  Rabai wakati wa kutangaza azma yake ya kumrithi gavana Kingi, Saburi amewafananisha wanaomezea mate nafasi ya hiyo na mtoto mpotevu.

Also Read
Jux kwenye Tamasha la wanawake
Also Read
Tukumbatie Chama Cha PAA Na Si ODM Asema Makanga

Aidha Saburi ametahadharisha wakaazi wa kaunti ya Kilifi dhidi ya kuchagua gavana ambaye hana nia ya kuendeleza wakaazi huku akijipigia debe kuwa chaguo

  

Latest posts

Gor Mahia Wapiga Kalamu Harrison na Benchi Lake La Kiufundi

Clavery Khonde

Sportpesa Yatoa Vifaa Vya Matibabu Kilifi

Clavery Khonde

Hospitali Za Kibinafsi Kukataa Huduma Za NHIF Mwezi Ujao

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi