Mkufunzi Wa Nigerai Ajiuzulu Baada Ya Matokeo Mabovu AFCON

Kocha wa muda wa Nigeria Augustine Eguavoen, aliedumu kwa mwezi mmoja ameamua kujiuzulu baada ya taifa hilo kushindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya AFCON.

Kama ilivyoripotiwa vyombo vya habari nchini Nigeria ilikuwa timu bora zaidi katika hatua ya makundi ikiwa na ushindi mara tatu kati ya tatu, lakini ilitolewa kwa haraka katika michuano hiyo katika mchezo wa 16 bora.

Also Read
Naira Marley Amewataka Wasaani Wanaonunua Views Kwenye Mtandao wa Youtube Kuacha Tabia Hio.
Also Read
Mbunge Wa Mvita Awataka Wakenya Kufuata Kanuni Za Kujikinga Na Korona

Nigeria ilipokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Tunisia Jumapili iliyopita.

Kwa sababu hiyo, kocha wa muda, Eguavoen, ambaye aliingia kama mbadala baada ya kutimuliwa kwa Gernot Rohr kabla ya mashindano, ameamua kuachia ngazi.

Also Read

Eguavoen kimsingi alijiuzulu wakati wa mkutano na waandishi wa habari ambapo alisema atarejea katika nafasi yake ya awali ya Mkurugenzi wa Kiufundi.

 

  

Latest posts

Mvurya Ataka Maafisa Wa Idara Na Mashirika Ya Serikali Kuhusu Maendeleo Zishirikishe Serikali Za Ugatuzi

Ruth Masita

Wanawake Wajasiriamali 450 Wanufaika Na Mafunzo Ya Kibiashara Mombasa

Ruth Masita

Mahakama yamwachilia mbunge wa Sirisia John Walukhe kwa dhamana ya shilingi milioni kumi

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi