Mlipuko wa basi la abiria Uganda waua watu 2

Mlipuko umetokea ndani ya basi moja karibu na mji mkuu wa Uganda Kampala.

Kulingana na maafisa wa polisi takriban watu wawili wamefariki na wengine kadhaa wakijeruhiwa.

Also Read
Mwanawe Museveni aunga mkono uvamizi wa Urusi nchini Ukraine

Basi lenyewe linadaiwa kusafiri katika barabara kuu ambayo inayoelekea katika taifa jirani la Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Mwanahabari wa BBC Patience Atuhaire  amesema haijulikani ni nini haswa kilichosababisha mlipuko huo.

Also Read
Mpango Wa Wanawake Wazinduliwa Kwlae

Awali maafisa wa polisi walikuwa wakisema kwamba kilikuwa kitendo cha ugaidi wa nchini humo , lakini kundi la Islamic State linasema lilihusika na mlipuko huo.

Also Read
Vijana Wahimizwa Kutunza Na Kuenzi Utamaduni Kilifi

Uganda awali pia imelishutumu kundi la waasi la DRC,ADF kwa kupanga mashambulizi hayo.

  

Latest posts

Nitaiboresha Idara Ya Usalama Kaunti Ya Mombasa Asema Abdullswamad Shariff Nassir

Clavery Khonde

Mpango Wa Wanawake Wazinduliwa Kwlae

Clavery Khonde

Waziri Magoha Aahidi Uimarishwaji Zaidi Wa Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi