Msaani Miss P Amesimulia Jinsi Willy Paul Alivyomlazimisha Kufanya Naye Mapenzi.

Msaani Miss P amesimulia jinsi Willy Paul alivyomlazimisha kufanya naye mapenzi mara tatu wakati alipojiunga na label yake Saldido.
kwenye mahojiano aliofanya mjini Nairobi Miss P amesema baada ya tukio hilo alipelekwa hosipitalini na mamake mzazi baada ya kila nyumbani kwa Willy Paul kwa muda wa siku 3.
Miss P amedai kuwa Kipindi hicho chote alichokuwa chini ya label hio Willy hakuwahi muruhusi kufanya mazungumzo yoyote na mtu yoyote kwenye tasnia ya muziki.
Aidha amesema kuwa alikatiza mkataba wake Saldido baada ya mamake mzazi Kumtaka Willy Paul kueka wazi makubaliano ya kazi na malipo yake.
Vile vile ameweka wazi kuwa wakati wote aliokuwa anafanya kazi na Willy Paul Afya yake ya Kauli ilizorota sana
May be an image of 2 people and people standing
Msanii Miss P na Willy Paul.
  

Latest posts

Nitahakikisha Diamond Platnumz na Zuchu Wanaoana”

Ken Wekesa

R.I.P COOLIO

Ken Wekesa

Happy to be back in my zone

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi