Msanii Otile Brown Amewashauri Vijana Wachague Viongozi Kwa Makini

Otile Brown amekuwa msaani wa hivi punde kuwashauri vijana nchini kuhusu jinsi wanavyopaswa kuwachagua viongozi wao.
Otile amedai kuwa matatizo mengi yanayo wakumbuka watu barani Afrika yanasababishwa na wao wenyewe kutokana na viongozi wanaowachagua kwa kuegemea ukabila, hongo na Utimu.

 

Aidha amewataka Wakenya kuwachagua Viongozi na sio wafanyibiashara.
  

Latest posts

Video ya Ngono ya Tiwa Savage Yampotezea Kampuni

Ibrahim Nyundo

Hakimu wa Kesi ya Rapa Kanye West Abadili Jina

Ken Wekesa

Ringtone Asema Kuwa Eric Omondi Anawadhalilisha Wanawake

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi