Mshukiwa Mkuu Wa Mauaji Ya Mwanariadha Agnes Tirop Amekamatwa Mombasa

Ibrahim Rotich ambaye ni mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanariadha Agnes Tirop amekamatwa na maafisa wa polisi eneo la Changamwe.

Haya yamethibitishwa na mkuu wa polisi eneo la Changamwe David Mathiu.

Also Read
Messi amezidi Ronaldo dollar millioni 9

Kulingana na Mathiu ni kuwa mshukiwa ametiwa mbaroni na maafisa wa polisi waliokuwa wakishika doria katika vizuizi Kwenye barabara ya Chaani baada ya muda wa kusafiri nyakati za usiku kukamilika.

Also Read
Mashirika Ya Kijamii Yamtaka Rais Kenyatta Kusitisha Mikutano Ya Kisiasa

Mshukiwa huyo wa sasa anazuiliwa kwenye kituo cha polisi cha Changamwe akiendelea kuhojiwa na maafisa wa polisi kabla ya kufikishwa mahakamani kujibu shtaka la mauaji ya mwanariadha huyo mwenye umri wa Miaka 25 aliyedaiwaa kuwa mpenzi wake.

Also Read
Afisa Mbakaji Wa KWS Akamatwa
  

Latest posts

Wafanyibiashara Katika Soko La Malindi Walalamikia Uchafu na Uvundo.

Sylvester Chibero

Wakenya Wametakiwa Kuwa Waangalifu Wakati Wanapoabiri Magari Msimu Huu Washerehe.

Sylvester Chibero

Tutashamiri Kwenye Mashindano Ya Mwaka Huu Ya Tong-IL Moo Do Asema Master Mwakio

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi