Mvua kubwa nchini Ujerumani yasababisha vifo vya Takriban watu 42

 

Takriban watu 42 wameaga dunia magharibi mwa ujerumani,wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo kufuatia mafuriko kwa mujibu wa polisi.

Eneno lilioathirika zaidi ni jimbo la Rhineland-Palatinate na North Rhine-Westphalia ambako majumba na magari yamesombwa.

Also Read
Mafuriko Yaathiri Maelfu ya Watu Sudan

Watu sita wanaripotiwa kuaga katika eneo jirani la Ubelgiji, huku mji wa Liège ukiwasihi wakaazi wake kuondoka.

Also Read
Mafuriko Yasababisha Maafa Nairobi.

Haya yanatokana kushudiwa kwa mvua kubwa iliyorekodiwa katika maeneo ya magharibi mwa ulaya iliyopelekea mito mikuu kuvunja kingo zake.

Also Read
Familia Yaomba Msaada Wakusafirisha Mwili Wa Mpendwa Wao Aliyefariki Ujerumani

Uholanzi pia imeathirika vibaya huku mito iliyofurika iliharibu nyumba katika mkoa wa kusini wa Limburg.

  

Latest posts

Tume ya mawasiliano yaanzisha mtambo mpya wa kiteknolojia kutambua mawimbi ya vituo vya redio

Joshua Chome

Rais Uhuru Kenyatta kuongoza mazungumzo ya ngazi za juu kwenye baraza la umoja wa mataifa Oktoba

Joshua Chome

Shehena ya chanjo ya Pfizer yawasili nchini

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi