Mwanaharakati wa maendeleo Magarini Douglas Kudundi anasema umaskini unasababisha kuongezeka kwa visa vya uhalifu

Mwanaharakati wa maendeleo maeneo ya magarini kaunti ya kilifi anayegombea kiti cha uwakilishi wadi magarini Douglas Kudundi amesema kwamba ukosefu wa ajira ndio unaosababisha vijana kujiingiza katika vitendo vya kiuhalifu ambavyo husababisha maafa kwa wananchi wasio na hatia.

Also Read
ANC Haipanii Kushirikiana Na ODM Asema Seneta Malala
Also Read
Lakers Ndio Miamba Ya NBA 2019/2020

Akiongea huko magarini kudundi amesema ni jukumu la viongozi kutafuta suluhisho la kudumukuona kwmaba vijana wanapata ajira ili waweze akujinufaisha maishani.

Also Read
Wanasiasa Wa Taveta Wakashifiwa Kwa Kutoa Taarifa Potofu Kuhusu Afya

vile vile ameongeza kwamba ukosefu wa ajira ndio unaosababisha mimba za mapema kwa wasichana wa magarini.

  

Latest posts

Nitaiboresha Idara Ya Usalama Kaunti Ya Mombasa Asema Abdullswamad Shariff Nassir

Clavery Khonde

Mpango Wa Wanawake Wazinduliwa Kwlae

Clavery Khonde

Waziri Magoha Aahidi Uimarishwaji Zaidi Wa Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi