NAIBOI YUPO HURU

Msanii Naiboi amefunguka kuwa yuko huru kuachia mzuki wake kama awali baada ya kutamatisha mkataba wake na kampuni ya Universal Music Group.
Naiboi amekuwa na mkataba na kampuni hio kwa kipindi cha muda wa miaka 3.
Kwa muda sasa Naiboi amekuwa akilalama kuwa mkataba alikuwa nao na kampuni hio ilikuwa inafanya ajihisi kama mfungwa.

  

Latest posts

Wazazi waiomba serikali kuingilia kati kupunguza bei za bidhaa za shule

Ibrahim Nyundo

PWANI FM TOP 10

Ken Wekesa

TAMASHA LA CHIMANO KUFUNGWA

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi