Naibu Gavana wa Mombasa Ataja Uchumi Kuwa Chanzo Cha Wazazi Kushindwa Kulipa Karo

Naibu gavana wa kaunti ya Mombasa William Kingi ametaja kuwa hali mbaya ya uchumi kwa wakaazi wa kaunti ya Mombasa ndio chanzo cha wazazi kushindwa kuwapeleka watoto wao shuleni.

Akizingumza na wanahabari Kingi amesema kuwa wazazi walioathirika hasa ni wale shughuli yao ilikatizwa pale serikali kuu iliamrisha makasha kutoka baandarini yasafirishwe kwa njia ya sgr hivyo kuondoa nafasi nyingi za kazi ndogo ndogo mitaani.

Kuhusu azma yake ya kuwania kiti cha ugavana mwaka wa 2022, Kingi amesema kuwa kwenye manifesto yake atahakikisha maswala ya elimu yanapewa kipaumbele.

  

Latest posts

Mshukiwa Mkuu Wa Mauaji Ya Mwanariadha Agnes Tirop Amekamatwa Mombasa

Clavery Khonde

Mbelle Awahimiza Vijana Kuzidisha Chachu Ya Talanta Zao

Clavery Khonde

Rais Kenyatta Amekutana Na Rais Biden Wa Marekani

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi