Naibu Kamishna wa Kilifi Aitaka Serikali Ijenge Vituo Vya Kuinua Vipaji Vya Uskauti

Naibu kamishna eneo la Kilifi Kaskazini James Ole Seneyia  anaitaka serikali kuu na ile ya kaunti ya Kilifi kujenga kituo cha kuinua vipaji vya skauti kaunti ya Kilifi.

Also Read
Balozi Luke Williams: Australia Inashirikiana na Kenya Kumaliza Mashambulizi ya Kigaidi.

Kulingana na Seneyia muungano wa skauti kaunti ya Kilifi una ardhi ya kutosha ya kujenga kituo ambacho kitakuwa kinawaleta pamoja skauti na kupata mafunzo ya kuimarisha nidhamu.

Also Read
Mkufunzi Wa Nigerai Ajiuzulu Baada Ya Matokeo Mabovu AFCON

Akizungumza mjini Kilifi  Seneyia anasema iwapo kaunti ya Kilifi itakuwa na vituo vya wanafunzi kuinua vipaji vyao visa vya utovu wa nidhamu shuleni vitapungua

  

Latest posts

Kiwango Cha Wateja Waliofurahia Huduma Za KRA Ndani Ya Miaka 3 Imeongezeka

Ruth Masita

HURIA Yalaumu Vyama Vya Kisiasa

Clavery Khonde

Wakaazi Kwale Waitaka Serikali Kushughulikia Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi