Naibu rais asisitiza haja ya umoja nchini

Naibu rais William Ruto ametoa wito kwa viongozi kuungana ili kuhakikisha kuna umoja nchini.

Akiongea wakati alipokutana na wanasiasa na viongozi wa mashinani kutoka kaunti ya Kisii kwenye makao yake ya Karen jijini Nairobi, naibu rais  amesema viongozi wanafaa kutoa muongozo bora  kwa manufaa ya wananchi.

Also Read
Kamati ya seneti kuhusu Corona yaibua maswali dhidi ya makabiliano ya corona Kilifi
Also Read
Ombi la Raila kwa Viongozi wa Kisiasa

Aliongeza kwamba juhudi za kuhakikisha uchumi umepewa kipau-mbele zitahakikisha kwamba taifa hili litapiga hatua hususan kutokana na madhara ya janga la ugonjwa wa Korona.

Also Read
Seneta Madzayo amtaka Gavana Kingi kuwachukulia hatua wahudumu wa afya wanaozembea kazini

Ujumbe huo uliongozwa na naibu gavana wa Kisii Joash Maangi  na jaji wa mahakama wa kanda ya Afrika mashariki Charles Nyachae.

  

Latest posts

Nitaiboresha Idara Ya Usalama Kaunti Ya Mombasa Asema Abdullswamad Shariff Nassir

Clavery Khonde

Mpango Wa Wanawake Wazinduliwa Kwlae

Clavery Khonde

Waziri Magoha Aahidi Uimarishwaji Zaidi Wa Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi