Naibu rais asisitiza kuwa mbinu yake ya kiuchumi itaboresha viwango vya ushuru nchini

Naibu rais William Ruto, amesema mbinu ya kiuchumi ya kuwezesha watu wa tabaka la chini inalenga kushughulikia masuala ya kimsingi yatakayowezesha ukuaji wa kiuchumi.

Also Read
Tume ya uchaguzi IEBC yataja muingilio wa kisiasa na kupunguzwa kwa bajeti kuwa vizingiti

Naibu rais amekariri kuwa mbinu hiyo itawezesha mkenya wa kawaida kupata pesa na kuboresha kiwnago cha ushuru huku ikipunguza utegemeaji wa mikopo ya kigeni ya shughuli za maendeleo.

Also Read
Hospitali ya rufaa ya Pwani Makadara kupokea kiwanda cha kutengeneza hewa ya oxygeni

Ruto alikuwa akiongea alipopokea ujumbe kutoka maeneo ya mashinani, viongozi wa kisiasa na kidini kutoka kaunti ya Makueni katika makazi yake ya  Karen jijini  Nairobi .

  

Latest posts

Nadal Atinga Nusu Fainali Ya Michuano Ya Wimbledon

Clavery Khonde

Raheem Sterling Akubali Kujiunga Na Chelsea

Clavery Khonde

Waziri Chelagui Awahimiza Vijana Kujiunga Na Vyuo Vya Kiufundi

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi