Naibu rais awapuuza wakosoaji wake

Naibu rais William Ruto amepulizia mbali madai ya baadhi ya wapinzani wake kwamba ameshindwa kutekeleza majukumu yake kama msaidizi mkuu wa rais.

Also Read
Watu 4 Wajeruhiwa Baada Ya Kuhusika Kwenye Ajali Voi

Akaiongea katika makao yake ya Karen wakati wa hafla ya kuwahamasisha wakina mama,Ruto alisema kuwa hajashindwa kuhudumia taifa hili kama msaidizi wa rais.

Also Read
Naibu rais William Ruto asisitiza kuwa kaunti zinaweza kupata fedha zaidi kupitia bunge na si lazima kufanyia katiba marekebisho

Wakati wa mkutano na ujumbe wa wanawake wafanyibiashara kutoka kaunti ya Nairobi, Ruto alisema ametekeleza vilivyo maagizo yote aliyokabidhiwa na rais.

Also Read
KWS Yahimizwa Kukabiliana Na Nyoka Lamu

Naibu rais alisema wale wanaosambaza madai hayo wanapaswa kuzingatia majukumu yao ya kuwahudumia wakenya.

  

Latest posts

Nitaiboresha Idara Ya Usalama Kaunti Ya Mombasa Asema Abdullswamad Shariff Nassir

Clavery Khonde

Mpango Wa Wanawake Wazinduliwa Kwlae

Clavery Khonde

Waziri Magoha Aahidi Uimarishwaji Zaidi Wa Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi