Naibu rais William Ruto amtaka OG kutenga muda

Naibu rais William Ruto amejibu post ya msaani Khaligraph Jones alioachia kupitia kurusa wake wa instagram.
Ruto amemtaka OG kutenga muda wa kueza kufanya mazungumzo naye kuona ni vipi wanaweza kuwasaidia wasaai wakati huu wa Corona na kujipanga kupata chakula cha kuwasaidia wasaani.
kauli hii inajiri baada ya OG kutanga tarifaa kuputia ukurasa wake wa instagram

  

Latest posts

Nitahakikisha Diamond Platnumz na Zuchu Wanaoana”

Ken Wekesa

R.I.P COOLIO

Ken Wekesa

Happy to be back in my zone

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi