Naibu wa rais William Ruto asema hataacha kusaidia na kwenda kanisani.

Naibu wa rais William Ruto amesema kuwa hatakoma kuunga mkono na kufadhili shughuli za mashirika ya kidini na zile za kuwahamasisha vijana.

Also Read
Chuo Cha Walimu Cha Shanzu Kufunguliwa

Akiwahutubia viongozi wa makanisa kutoka kaunti ya Nyamira waliomtembelea nyumbani kwake huko Sugoi katika kaunti ya Uasin Gishu,  Ruto alisema kuwa hajutii Imani yake.

Also Read
Odinga Awapatanisha Viongozi Wa ODM Waliokua Wakizozana Kwale

Wakati huo huo aliwakashifu vikali wakosoaji wake huku akiwapa changamoto ya kujihusisha na shughuli za kuboresha jamii.

  

Latest posts

Kiwango Cha Wateja Waliofurahia Huduma Za KRA Ndani Ya Miaka 3 Imeongezeka

Ruth Masita

HURIA Yalaumu Vyama Vya Kisiasa

Clavery Khonde

Wakaazi Kwale Waitaka Serikali Kushughulikia Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi