NCCK Yawahimiza Vijana Wajitokeze Kwa Wingi Kujisajili

Baraza la kitaifa la makanisa nchini (NCCK) limewataka vijana katika eneo la Pwani kujitokeza kwa wingi katika zoezi la usajili wa wapiga kura wapya linaloendelea nchini.

Also Read
"Uchawi Ndio Chanzo Cha Utovu wa Usalama", Wasema Wakaazi wa Kibarani

Katibu mkuu wa baraza hilo kasisi Chris Kinyanjui amesema kuwa wameanza kutoa hamasa kwa vijana kuhusu umuhimu wa kujisajili kama wapiga kura.

Katibu Mkuu wa baraza la Makanisa nchini NCCK; Chris Kinyanjui

Kinyanjui aliyekuwa akizungumza katika kaunti ya Kwale amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha vijana wanatambuliwa na serikali.

Also Read
Upeanaji Chanjo Wazinduliwa Kwale

Kwa upande wake meneja wa tume huru ya uchaguzi na mipaka  (IEBC) tawi la  Kwale Nelly Ilongo amesema kuwa idadi ndogo ya vijana imesajiliwa. Ilongo ameahidi kushirikiana na wadau mbali mbali ili kuhakikisha vijana zaidi wanasajiliwa katika kaunti hii.

Also Read
Hatma ya maseneta watano wa Jubilee kujulikana wiki ijayo

 

  

Latest posts

Uungereza Yaahidi Kushirikiana Na Kenya Kukabili Korona

Clavery Khonde

Wakenya Wahimizwa Kuwatunza Wanao Dhidi Ya Biashara Ya Ngono

Clavery Khonde

Viongozi Wa Dini Kwale Waonywa Dhidi Ya Kujihusisha Na Siasa

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi