NCIC Yalaumiwa

Tume ya uwiano wa kitaifa na utangamano NCIC inaendelea kukosolewa kwa jinsi inavyoshughulikia swala la semi za chuki nchini.
Wa hivi punde kuilaumu tume hio ni gavana wa kaunti ya Machakos Dkt Alfred Mutua.
Akihojiwa na kituo kimoja cha runinga humu nchini Mutua amesema kuna haja ya wakuu wa tume hio kulivalia njuga swala la kukabiliana na semi za chuki ili kuhakikisha kuwa viongozi wanawajibikia kauli zao.
 

  

Latest posts

Nadal Atinga Nusu Fainali Ya Michuano Ya Wimbledon

Clavery Khonde

Raheem Sterling Akubali Kujiunga Na Chelsea

Clavery Khonde

Waziri Chelagui Awahimiza Vijana Kujiunga Na Vyuo Vya Kiufundi

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi