Nick Mwendwa Apigiwa Debe Kwale

Mwenyekiti wa shirikisho la soka  nchini FKF tawi la kaunti ya Kwale Hamisi Mwakoja amepongeza hatua za kimaendeleo zilizopigwa na uongozi wa sasa wa soka chini ya rais Nick Mwendwa.

Also Read
Boga Aidhinishwa na IEBC Kuwania Uchaguzi Mdogo wa Msambweni

Akizungumza mjini Kwale Mwakoja amewaomba wajumbe ambao wanaruhusiwa kupiga kura kuhakikisha wanamchagua Nick Mwendwa tena kama kiongozi wa shirikisho la soka nchini akimtaja kuwa kiongozi ambaye ameleta mabadiliko makubwa kisoka.

Also Read
Serikali Ya Kaunti Ya Mombasa Yalaumiwa

Akitaja mifano ya kukua kwa soka la wanawake, kupanda kwa timu ya taifa ya soka harambee stars katika jedwali la soka , soka la vijana pamoja na maswala mengine Mwakoja amempigia upato Nick Mwendwa kwani huku akiwataja wengine kuwa huenda wakairudisha soka ya Kenya nyuma.

  

Latest posts

Rais Uhuru afanya mabadiliko kwenye vikosi vya ulinzi vya Kenya KDF

Joshua Chome

Sijaagiza kukamatwa kwa majaji asisitiza Noordin Haji

Joshua Chome

Tume Ya Ardhi Nchini Kutatua Shida Ya Mashamba Taita Taveta

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi