Niko Kwenye Kinyang’anyiro Cha Kumrithi Gavana Mvurya Asema Lung’anzi

Baada ya madai kuibuka kuwa huenda akaachana na azma yake ya kuwania ugavana wa kaunti ya Kwale na kumuunga mkono naibu gavana wa kaunti hio Fatuma Achani sasa mgombea wa ugavana Lung’anzi Chai Mangale ameweka wazi kuwa hana nia yakua mgombea mwenza wa muwaniaji yeyote.

Also Read
Wakaazi Wa Kwale Wahamasishwa Dhidi Ya Korona

Katika mahojiano na pwani fm Lung’anzi ameweka wazi kuwa yeye yuko kwenye kinyang’anyiro cha kumrithi gavana wa Kwale Salim Mvurya na hatoyumbishwa na mawimbi ya kisiasa na amewahakikishia wafuasi wake kuwa yeye atuakuwepo kwenye debe mwaka ujao.

Also Read
WHO Yatoa Tahadhari ya Uwezekano wa Kuwa na Vifo Afghanistan

Wakati huo huo ameihimiza tume ya uchaguzi nchini IEBC kuzidisha hamasa ya kuwashawishi wakenya kujitokeza ili kujiandikisha kama wapiga kura kwa siku zilizosalia kablwa zoezi hilo kukamilika tarahe mbili mwezi ujao.

  

Latest posts

Uungereza Yaahidi Kushirikiana Na Kenya Kukabili Korona

Clavery Khonde

Wakenya Wahimizwa Kuwatunza Wanao Dhidi Ya Biashara Ya Ngono

Clavery Khonde

Viongozi Wa Dini Kwale Waonywa Dhidi Ya Kujihusisha Na Siasa

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi