ODM Yamteua Mohammed Hamid Kama Mwenyekiti Wa Tawi la Mombasa

Chama cha ODM tawi la Mombasa kimteua Mohamed Hamid kuwa mwenyekiti wao mpya.

Akizungumza na wanahabari mda mfupi baada ya kukabidhiwa wadhfa huo, Hamid amesema kuwa jukumu lake ni kuhakikisha chama cha ODM kinasalia kuwa na umaarufu katika kaunti ya Mombasa.

Also Read
Idadi ya Wapwani Waliojisajili Yasalia Kuwa ya Chini

Kwa mujibu wa mbunge wa Jomvu Badi Twalib, amefurahishwa na uteuzi huo na akataja kama chama wanalenga kuhakikisha kaunti nzima inapeperushwa bendera ya ODM.

Also Read
Umeme Wundanyi

Hafla ya kumteua Hamid kuwa mwenyekiti mpya ilihudhuriwa na wabunge Abdhulswamad Nassir wa Mvita, Badi Twalib wa Jomvu, Mishi Mboko wa Likoni na mwakilishi wa kike Asha Mohammed pamoja na katibu mkuu wa chama Goefrey Busaka miongoni mwa wanachama wengine.

Also Read
Balozi wa Marekani:Marekani Inasaidia Kenya Kwenye Vita Dhidi ya COVID-19

Nafasi hiyo iliachwa wazi baada ya kufariki kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Mohammed Hatimy kufuatia maradhi ya covid 19 mwezi October mwaka uliopita.

  

Latest posts

Mshukiwa Mkuu Wa Mauaji Ya Mwanariadha Agnes Tirop Amekamatwa Mombasa

Clavery Khonde

Mbelle Awahimiza Vijana Kuzidisha Chachu Ya Talanta Zao

Clavery Khonde

Rais Kenyatta Amekutana Na Rais Biden Wa Marekani

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi