Ohmslaw Montana awataja waliovunja safari yake ya marekani

Msanii wa HipHop Ohmslaw Montana amefuchua kuwa watu wa karibu na gavana Ali Hassan Joho ndio waliosambaratisha safari yake ya kuenda nchini Marekani hata baada ya Gavana kukatia tiketi ya kuelekea nchini Marekani.
Kwenye xclusive interview na Pwani Fm OhmsLaw amesema Gavana Joho aligharamia nauli yake ya usafari ila hakupewa tiketi hizo ilikusafari siku aliofaa kuondoka nchini hadi kufikia jana huu ni mwaka wa pili hajawahi enda kuchukua tiketi hizo.
Aidha Ohmlow amesema kuwa hajuitii kukosa safari hio huku akisema hatua hio inaendela kumpa msukumo wa kuendeleza vuguvugu lake la Acha Gun Shika Mic ambao kwa sasa amefichua umepata udhamini toka kwa shirika moja kutoka nchini Ungereza.
Vile vile Ohmslaw amesema kuwa kwa sasa hafanyi video za muziki ila anawekeza sana kufanya Documentaries mabazo amesema zimempa nafasi kubwa ya kuweza kukutana na watu wenye ushawishi kubwa kote duniani waliojitolea kusadia vuguvugu lake la Acha Gun Shika Mic
  

Latest posts

Pritty Vishy asema ni kwanini hakuvutiwa kwa SimpleBoy

Ken Wekesa

Nonini ajiondoa MCSK

Ken Wekesa

NAIBOI YUPO HURU

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi