Ombi La Tolewa Kwa TSC

Wito umetolewa kwa serikali kupitia tume ya kuajiri walimu nchini TSC kuhakikisha  walimu wanaoajiriwa katika shule za wanafunzi wenye akili tahira wa stakabadhi kamili zinazostahili Ili kuzuia kuajiri walimu wanaiwatesa au wasiyowaelewa mahitaji ya wanafunzi hao.

Also Read
Walemavu walalamikia hujuma wakati wa kupiga kura

Haya  ni kwa mjibu wa mmoja wa walimu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Taita taveta Venant Mwabara akihoji kuwa walimu wasiyo na Wito kwa wanafunzi hao huishia kuwatesa wanafunzi hao walemavu.

Also Read
Zahanati Kufunguliwa Lamu

Haya yanajiri huku idadi kubwa ya wanafunzi husika wakiripotiwa kupitia dhuluma mbalimbali katika mikono ya baadhi ya walimu wadhalimu katika kaunti ya ya Taita taveta sawa na kwingineko nchini.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi