Polisi wanaosimamia mitihani Kwale waonya dhidi ya kutumia kileo chochote kipindi hiki cha mitihani

Idara ya usalama kaunti ya Kwale imewaonya vikali maafisa wa polisi wanaosimia mtihani wa kcpe kukoma kutumia pombe msimu huu wa mtihani wakisema kuwa atakayepatikana atakabiliwa kisheria.s

Akiongea mjini Kwale baada ya kufunguliwa kwa kasha la mtihani kamanda wa polisi steve Oloo amesisitiza haja ya maafisa hao kutotumia vileo akisema kuwa hatua hio itahujumu utendakazi wao.

Also Read
Nick Mwendwa Kuchunguzwa Na DCI
Also Read
Watatu Kati ya Watu 10 Kwale ndio Hawana vyoo

Akigusia swala la silaha Oloo pia amewasihi maafisa wa polisi kukoma kuwapatia watahiniwa kupiga picha akisema kuwa hatua hio ni kinyume cha sheria.

Wakati uo huo ametishia kuwachukulia hatua za kisheria maafisa wote watakaopatikana wakitoa silaha hizo kwa wanafunzi wakati n ahata baada ya mtihani.

Also Read
Kero La Ngamia Voi

Haya yanajiri huku watahiniwa elfu 23375 na vituo 464 wakitarajiwa kufanya mtihani huo.

  

Latest posts

Kiwango Cha Wateja Waliofurahia Huduma Za KRA Ndani Ya Miaka 3 Imeongezeka

Ruth Masita

HURIA Yalaumu Vyama Vya Kisiasa

Clavery Khonde

Wakaazi Kwale Waitaka Serikali Kushughulikia Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi