Polisi Waonywa Kilifi

Kamishna wa kaunti ya Kilifi Kutswa Olaka amewataka maafisa wa polisi kuwa waangalifu wakati huu ambao taifa linaelekea kuingia katika uchaguzi mkuu.

Also Read
Gavana Samboja awataka maafisa wa usalama kuwajibika vilivyo wakati huu wa sherehe na Corona

Kulingana na Olaka chaguzi zilizopita kulikuwako na visa vya wa maafisa wa usalama pamoja na machifu kupoteza maisha yao.

Also Read
Rais awakumbusha wakenya kutekeleza jukumu la kuhakikisha kuwa taifa hili ni salama

Akizungumza mjini Kilifi ,Olaka amesema watakabiliana na magenge ya kihalifu pamoja na makundi ambayo yanavami mashamba ya watu ambayo huchangia utovu wa usalama.

Also Read
Waziri Magoha asisitiza shule kufunguliwa Januari mwakani

Vile vile kamishna huyo amewataka maafisa hao kutoegemea mirengo yeyote ya  kisiasa wanapotoa huduma za kulinda usalama.

  

Latest posts

Gor Mahia Wapiga Kalamu Harrison na Benchi Lake La Kiufundi

Clavery Khonde

Sportpesa Yatoa Vifaa Vya Matibabu Kilifi

Clavery Khonde

Hospitali Za Kibinafsi Kukataa Huduma Za NHIF Mwezi Ujao

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi