Polisi Watakiwa Kukomesha Dhulma Jomvu

Wakaazi wa kijiji cha Jitoni wadi ya Jomvu kuu eneo bunge la Jomvu kaunti ya Mombasa wamewataka maafisa wa usalama kufuta taratibu zifaazo wakati wanapotekeleza majukumu yao ya kikazi kwa wananchi.

Also Read
Hofu Ya Ndovu Ganze

Msemaji wa jamii ya wajomvu  Kombo Ahmed Kombo amesema kuwa ni jambo la kusikitisha kuona askari wanaandama watoto hadi chumbani bila sababu maalum.

Also Read
Chama Cha PAA Kuzinduliwa Rasmi Mwakani

Aidha msemaji huyo ameongeza kusema kuwa ikiwa polisi wanamtaka kijana yoyote kwa tuhuma zaozote wafuate wazee wa kijiji na akadai kwmba hawashindwi kumpelekamtuhumiwa yoyote katika kituo cha polisi ikibidi.

Also Read
Cristiano Ronaldo Ampiku Messi Kwa Mapato

Hata hivyo mzee wa mtaa wa kijiji hicho Mwidani Salim Mwidani amedai kuwa serikali ingetafuta namna ya kuwasaidia watoto badala ya kuwasumbua kila mara.

  

Latest posts

Kiwango Cha Wateja Waliofurahia Huduma Za KRA Ndani Ya Miaka 3 Imeongezeka

Ruth Masita

HURIA Yalaumu Vyama Vya Kisiasa

Clavery Khonde

Wakaazi Kwale Waitaka Serikali Kushughulikia Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi