Pombe ya Kienyeji Yenye Mchanganyiko wa Ndizi Yauwa Watu 11 Rwanda

Watu 11 wameripotiwa kufariki nchini Rwanda tangu siku kuu ya Krismasi baada ya kunywa pombe ya kienyeji inayotengezwa kutumia ndizi katika wilaya ya kusini mashariki mwa nchi hiyo ya Bugesera.

Also Read
Waziri Kagwe Atoa Wito wa Kuchunguzwa Kwa Magonjwa na Kuyatibu Mapema

Watu wanne zaidi wanaripotiwa kuwa hospitalini kwa matibabu lakini tayari wamepofuka.

Kwa mujibu wa ofisi ya upelelezi ya Rwanda watu watano walikamatwa siku ya Jumatatu kuhusiana na tukio hilo, akiwemo mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza pombe hiyo nchini humo.

Also Read
Familia Mjini Mombasa Waiomba Serikali Ishughulike Kuwasaka Wana Wao Waliotoweka

Viwango vya juu vya methanoli vilivyopatikana katika moja ya bia hiyo kwa jina Umuneza, vinaweza kuhusishwa na vifo hivyo, kulingana na Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Rwanda.

Also Read
Vera Sidika Akanusha Madai ya Kumuacha Brown Mauzo

 

  

Latest posts

Gor Mahia Wapiga Kalamu Harrison na Benchi Lake La Kiufundi

Clavery Khonde

Sportpesa Yatoa Vifaa Vya Matibabu Kilifi

Clavery Khonde

Hospitali Za Kibinafsi Kukataa Huduma Za NHIF Mwezi Ujao

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi