Kiongozi wa Chama cha ODM Raila Odinga ameweka wazi kuwa amefanya kikao wa wana Chama wa Kenya Copy right Board ambao wanaendelea na mikakati ya kubuni sheria mpya zitakazo wasaidia wasaani kunufaika na vilabu vyao.
Odinga amesema mazungumzo yake na bodi hio yaligusia mageuzi wanayopanga kufanya kuboresha maisha ya wasaani nchini.
