Raila Odinga Atarajiwa Kukutana na Viongozi wa Mlima Kenya

Mkutano mkubwa zaidi unatarajiwa kuandaliwa baina ya kiongozi wa ODM Raila Odinga na viongozi wa eneo la mlima Kenya.

Kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Amos Kimunya aliashiria kwamba mkutano mkubwa zaidi utaandaliwa hivi karibuni alipowahutubia wanahabari kwenye mkutano baina ya wabunge wa eneo la kati na Odinga.

Also Read
Owen Baya atenga milioni 8 kwa karo za watoto wa Kilifi Kusini

Mkutano huo umejiri siku chache baada ya kiongozi wa ODM kuandaliwa dhifa ya chakula cha mchana na wakfu wa eneo la Mlima Kenya.

Also Read
Jamii Zilizoathirika na Uchimbaji Madini Kwale na Mombasa Watarajiwa Kufidiwa

Kimunya alisema kuwa Odinga aliwahakikishia kwamba maslahi yao yako salama naye kwani wana malengo sawa.

Also Read
Naibu Kamishna wa Kilifi Aitaka Serikali Ijenge Vituo Vya Kuinua Vipaji Vya Uskauti

Kwa upande wake Odinga alisema kuwa viongozi wa eneo la mlima Kenya wamemwonyesha mapito mbalimbali ya kutumia anapozuru eneo hilo kutafuta kura.

  

Latest posts

EACC Itahakikisha Walioteuliwa Wanatia Saini Mkataba Wa Kujitolea

Ruth Masita

Haki Afrika Yaeleza Uchaguzi Wa Agosti 9 Haukuzingatia Haki

Ruth Masita

Mashirika Ya Kijamii Yaeleza Dosari Za Uchaguzi Mkuu Wa Tarehe 9 Agosti

Ruth Masita

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi