Raila Odinga Atoa Wito kwa Wakenya Kudumisha Umoja

Kiongozi wa chama cha ODM  Raila Odinga, amesema ipo haja ya wakenya kudumisha umoja ndipo taifa hili liweze kuimarika kiuchumi.

Also Read
Polisi Watakiwa Kukomesha Dhulma Jomvu

Akiongea aliposimama katika vituo mbali mbali  jijini Nairobi, Raila alisema taifa dhabiti huwa na mazingira bora itavutia uwekezaji,na hivyo kubuni nafasi za ajira kwa wakenya.

Also Read
Polisi wanaosimamia mitihani Kwale waonya dhidi ya kutumia kileo chochote kipindi hiki cha mitihani

Aidha aliahidi kutekeleza ahadi yake ya kutoa  shilingi 6000 kila mwezi kwa familia maskini,akisema anajua zitakapotaka pesa hizo.

Also Read
Wakazi wa Mkwakwani wanalilia haki.

 

  

Latest posts

EACC Itahakikisha Walioteuliwa Wanatia Saini Mkataba Wa Kujitolea

Ruth Masita

Haki Afrika Yaeleza Uchaguzi Wa Agosti 9 Haukuzingatia Haki

Ruth Masita

Mashirika Ya Kijamii Yaeleza Dosari Za Uchaguzi Mkuu Wa Tarehe 9 Agosti

Ruth Masita

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi