Rais Kenyatta Azindua Mpango Wakupambana Na Malaria Kilifi

Rais Uhuru Kenyatta leo amezindua jeshi la kitaifa la kupambana na Malaria na vile vile mpango wa ushirikiano baina ya Kenya na Cuba katika kupambana na mbu wanaosambaza ugonjwa wa Malaria.

Also Read
Wanakandarasi Waonywa Kilifi

Hafla hiyo ilifanyika kwenye kaunti ya Kilifi.

Rais Kenyatta, ambaye ndiye mwenyekiti wa sasa wa mpango wa viongozi wa Afrika kuhusu mapambano dhidi ya Malaria -(ALMA), pia alishuhudia maonyesho  ya utumizi wa Drones katika utambuzi na kunyunyizia dawa maeneo ambako Mmbu wanazaana.

Also Read
Wazazi Waombwa Kuwawekea Mazingira Bora Wanafunzi Wakike
Also Read
Mchakato wa kuwepo chama cha kisiasa cha pwani watokota.

Drone moja pekee inaweza kunyunyiza dawa za kuangamiza wadudu wanaosababisha Malaria katika eneo la ekari 150 kwa siku, Jukumu ambalo litachukua siku 10 iwapo litatekelezwa na wanadamu.

  

Latest posts

Tume ya mawasiliano yaanzisha mtambo mpya wa kiteknolojia kutambua mawimbi ya vituo vya redio

Joshua Chome

Rais Uhuru Kenyatta kuongoza mazungumzo ya ngazi za juu kwenye baraza la umoja wa mataifa Oktoba

Joshua Chome

Shehena ya chanjo ya Pfizer yawasili nchini

Joshua Chome

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi