Rais wa club ya PSG Nasser Al-Khelaifi aliingia kwa hasirakatia jumba la kubalishia mavazi la marefari ugani Santiago Barnabeu na kuvunja baadhi ya vifaa vya marefa hao kuonyesha kugadhabishwa kwake na badhii ya maamuzi yaliotolewa baada ya PSG kubanduliwa nje ya dimba la mabigwa barani Ulaya.
Repoti ya mechi ya rreffari wa mechi hio inaleleza kuwa Al Khelafi laijaribu kuingia kwa nguvu katika chumba hicho na alipoelezwa aondoke aligonga na kuvunja kifaa cha refari huyo.
Jarida la MARCA nchini uhispania limeripoti kuwa afisa mmoja wa real Madrid alirekodi tukio hilo na anapania kuiwasilisha kwa UEFA mabayo huenda wakamchukulia hatua Al-khelaifi.
Real Madrid walitoka nyuma mabao 2 na kuandikisha ushindi wa mabao 3-1 kufuzu awamu ya robo fainali.