Ringtone Apoko Amesema Hivi Karibuni Hakutakuwa na Msaani wa Gospel Nchini Kenya

Ringtone Apoko amesema kuwa siku za hivi karibuni hakutakuwa na msaani wa Gospel nchini Kenya.
Ringtone amedai kuwa amegundua kuwa wa Kenya wengi hasa vijana hawawapi wasaani wa Gospel support kama awali, huku akifichua kuwa industry ya muziki wa wa gospel uneshuka sana ikilingnaishwa na Secular ila hafahamu ni kwanini miziki hio haifanyi vizuri licha ya kuwa miaka ya nyuma ndio iliokuwa inaongaza nchini.
Aidha ametoa mfano wa nyimbo walizoachia Mercy Masika, Guardian Angel na Moji short Baba ambao awali walikuwa wanafanya vizuri kwenye mitandao ya youtube.
  

Latest posts

Video ya Ngono ya Tiwa Savage Yampotezea Kampuni

Ibrahim Nyundo

Hakimu wa Kesi ya Rapa Kanye West Abadili Jina

Ken Wekesa

Ringtone Asema Kuwa Eric Omondi Anawadhalilisha Wanawake

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi