Ruto Ayataka Mashirika Ya CA Na KPLC Kuwajibika

Naibu wa rais Dkt. William Ruto amewaonya wakurugenzi wa mamlaka ya mawasiliano (CA) na shirika la  usambazaji umeme la (KPLC) nchini  kutohujumu shughuli za uchaguzi nchini.

Also Read
Sibabaishwi na miungano mipya ya kisiasa asema naibu rais

Akiongea jijini Nairobi kwenye kikao na waandishi wa habari katika makao yake rasmi eneo la Kareni naibu rais amewataka wakurugenzi wa mashirika hayo mawili ya serikali kuhakikisha kuwa wanatekeleza majukumu yao kama ilivyoainishwa kikatiba.

Also Read
Wanaopania Kuwasilisha BBI Kupitia Bunge Wafate Kanuni Hitajika Asema Spika Muturi

Wakati uo huo Ruto ameweka wazi kuwa anaimani na tume huru ya uchaguzi na mipaka kuwa itaandaa uchaguzi wa huru na haki.

Also Read
Naibu rais asisitiza uchaguzi wa Amani unaweza kufanyika pasipo kubadilisha katiba

Aidha amewarai wakenye kuhakikisha kuwa wanadumisha amani kabla wakati na hata baada ya uchaguzi mkuu wa juma lijalo.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi