Safaricom ya mdhamini Mark Otieno million 1

 

 

Kampuni ya safaricom imetoa udhamni wa shilingi milioni 1 kwa  mwariadha Mark Otieno atakaye wakilisha Kenya katimaba mbio za mita 100 nchini Japni katika mashindano ya Olympiki.

 

Otieno aliyemaliza wa pili katika mbio za majaribio Ugani Kasarani atapata vifaa vyote vya mazoezi kwa maandalizi ya mashindano yatakayo anaza july 23.

Also Read
Timu Ya KPA Ya Mchezo Wa Mpira Wa Vikapu Yajiandaa Kwa Msimu Mpya

 

Aidha Otieno ameipongeza kampuni ya safaricom kwa udhamni huku akisema kuwa imempa motisha ya kufanya vyema mjini Tokyo.

Also Read
Aliyekuwa Rais wa Barcelona akamatwa.

 

Wiki jana Safaricom ilitangaza udhamini wa shilingi milioni 20 kwa kikosi cha Kenya kinachoeleka nchini Japan. Fedha ambazo zimegharamia sare za kikosi hicho.

Also Read
Vilabu 4 vyaachua nje ya ligi ya KPL sababu Corona

 

Vile vile  mkurugenzi wa safaricom Peter Ndegwa amesema kampuni hio imevutiwa na ukakamavu Mark Otieno huku  akitarajia kuwa huenda ikwatia motisha vijana wengine nchini.

 

 

 

 

  

Latest posts

BETIKA  yawatuza wachezaji waliofana National super league

Ken Wekesa

Manchester City Yaondoa Bidhaa Zenye Jina La Benjamin Mendy

Clavery Khonde

Emma Raducanu apongezwa ni malikia kwa usindi wake wa US open

Ibrahim Nyundo

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi