Selena Gomez ajigonga kwa mwanamziki Rema

Mabusu ya mrembo Selena Gomez kwa mwimbaji nyota toka Nigeria, Rema yawa gumzo mtandaoni!
Video hiyo inatajwa kurekodiwa usiku wa jana wakati ambapo Selena alimtembelea Rema backstage kwenye show yake aliyoifanya huko Los Angeles Marekani, ambayo ipo ndani ya ziara yake iitwayo “Rave & Roses”.
Hata hivyo kwenye video hiyo Rema anaonekana kuwa kwenye mshangao wakati Bi dada akijiachia.
  

Latest posts

Nitahakikisha Diamond Platnumz na Zuchu Wanaoana”

Ken Wekesa

R.I.P COOLIO

Ken Wekesa

Happy to be back in my zone

Ken Wekesa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi