Serikali Ya Kwale Yahimizwa Kuwagharamia Wagonjwa Wa Saratani

Wanawake wanaougua ugonjwa wa saratani katika kaunti ya Kwale wameitaka serikali ya kaunti hio kuidhinisha mpango wa kugharamia matibabu ya wagonjwa wa saratani.

Also Read
Suleiman Shahbal kura ya mchujo ndani ya chama cha ODM

Wakiongozwa na Abigael Kinywa wanawake hao wamesema wanakabiliwa na hali ngumu kulipa ada za juu za matibabu za ugonjwa huo,ikizingatiwa kwamba bima ya NHIF haisimamii gharama zote za matibabu za maradhi hayo.

Also Read
Mpango Wa Kuzalisha Chanjo Nchini Wakamilika Asema Waziri Kagwe

Kwa upande wake Phanice Mbwayo mmoja wa waathiriwa hao ameitaka serikali ya Kwale kuzidisha hamasa kwa jamii kuhusiana na  ugonjwa wa saratani.

  

Latest posts

Nadal Atinga Nusu Fainali Ya Michuano Ya Wimbledon

Clavery Khonde

Raheem Sterling Akubali Kujiunga Na Chelsea

Clavery Khonde

Waziri Chelagui Awahimiza Vijana Kujiunga Na Vyuo Vya Kiufundi

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi