Serikali ya Ethiopia Yakomboa Mji wa Dessie na Kambolcha Kutoka kwa Tigray

Serikali ya Ethiopia imesema imeikomboa miji yake muhimu ya Dessie na Kombolcha iliyothibitiwa mwezi uliopita na wapiganaji wa Tigray.

Chama cha Tigray People’s Liberation Front (TPLF) bado hakijatoa maoni yoyote na hakuna uthibitisho wa kauli hiyo ya serikali.

Also Read
Mtalii auliwa na ndovu nchini Uganda

Mamlaka ya shirikisho inadai kuwa wamefanya maendeleo makubwa dhidi ya watu wa Tigrayan katika siku za hivi karibuni.

Also Read
Trump Ampiga Kalamu Afisa Wa Ngazi Za Juu Aliyepinga Madai Ya Wizi Wa Kura

Inaaminika kuwa matumizi ya ndege zisizo na rubani yamekuwa muhimu.

Kiongozi wa TPLF anasema vikosi vyake vimeondoka katika maeneo ya Afar na Amhara.

Also Read
Kiwango Cha Maambukizi ya Covid-19 Chapungua Nchini

Debretsion Gebremichael alisema hakutaka kutoa maelezo kwa nini walijiondoa wakati walipokuwa wakikaribia mji mkuu Addis Ababa.

  

Latest posts

Gor Mahia Wapiga Kalamu Harrison na Benchi Lake La Kiufundi

Clavery Khonde

Sportpesa Yatoa Vifaa Vya Matibabu Kilifi

Clavery Khonde

Hospitali Za Kibinafsi Kukataa Huduma Za NHIF Mwezi Ujao

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi