Sheria Zisibague Asema Mbunge Ali Mbogo

Baadhi ya viongozi wa kisiasa hapa Mombasa wameitaka serikali kuhakikisha sheria za kudhibiti mikutano ya kisiasa humu nchini zinafaa kutopendelea upande wowote wa kisiasa.

Also Read
Wasanii Wazidi Kumuomboleza Msanii Bin Kalama

Akizungumza na pwani fm mbunge wa Kisauni Ali Mbogo amesema kuwa kumekua na mtafaruku kuhusiana na utekelezwaji wa sheria hizo zilizowekwa na baraza la kitaifa la usalama.

Also Read
Jamii ya Taita Taveta yaombwa kuamka kupinga dhulma za kijinsia

Mbunge huyo amesema katiba iko wazi kuhusiana na sheria za kupewa kibali cha kuandaa mikutano ya kisiasa.

Also Read
Wakaazi wa Mombasa Waonywa dhidi ya kutozingatia maagizo ya afya

Wakati huo huo Mbogo amesema wale wanaoonekana wanakinzana na mchakato wa BBI wanafaa kupewa nafasi ya kufanya mikutano yao kama inavyokubalika kisheria.

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi