Shetta 'Story Yangu Fupi kuhusu Mimi na MwanaFa'

Kupitia mtandao wa instagram Shetta amefunguka jinsi MwanaFa aliaminia kipaji chake na kukubali kuweka verse kwenye wimbo wake wa kwanza ndiposa akaandika Story Yangu Fupi kuhusu Mimi na @mwanafa watu wengi Hawajui kuwa Binamu yetu Hamis mwijuma Ndo msanii wa Kwanza kabisa Kufanya nae wimbo wangu wa kwanza kunitambulisha kwenye Mziki miaka 9 iliyopita Ikiwa ni msanii Mchanga, Wimbo huo unaitwa #Menaplay.
hakuna anaenijua kwenye tasnia hii, Ikiwa baada ya kuhangaika sana kutafuta mtu ambae atanisaidia sauti yake kwenye wimbo wangu kipindi kile, Too bad kuna wasanii wakubwa tu walikuwepo na wengine wametangulia mbele ya Haki (RIP) walikataa wengine walitaka niwalipe tena niwalipe Hela nyingi na sikua na pesa yoyote kipindi kile. But @mwanafa Alinipa muda wa kunisikiliza na mtihani pekee alionipa ni kwamba kama wimbo utakua mkali sana atafanya na mimi. Kama utakua mbaya basi tuendele kuwa mtu na mdogo wake tu hatofanya. Lol
Na baada ya Kusikiliza wimbo huo moja kwa moja alikuja studio na akaingiza sauti, na Hata baada ya kumaliza nikataka kumpa hela kidogo ya Usumbufu japo ya Mafuta akakataa. Kiukweli MwanaFa ni Mtu na Nusu. Nimejifunza mengi na naendelea kujifunza kutoka kwako vitu vingi. Kiukweli Nakukubali sana… Sasa inabidi itoke Nyingine kali baada ya Miaka 9 iliyopita.

Also Read
Hivi nasubiria Rais atasema nini...
Also Read
Rais Kenyatta Kukagua Ujenzi Wa Kituo Cha Mafuta Bandarini Mombasa

Naingia Miaka 10 sasa kwenye Mziki, Wewe kama shabiki yangu Ebu Niambie Kitu chochote Leo.
#SHETTA10YEARS LOADING…….
My Day One Brother… @mwanafa

  

Latest posts

Serikali ya kaunti ya Kilifi yatenga asilimia 15 ya bajeti kwa maendeleo

Joshua Chome

Kalonzo Aikosoa Serikali

Clavery Khonde

Rais Ruto Ateua Jopokazi Litakalo Tathmini Mtaala Wa CBC

Clavery Khonde

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Kubali Soma Zaidi